Tanzia:Samson Madawabora

Pole sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa aliyekuwa mwanachama wa chama cha wasaikolojia Tanzania (TAPA) ndugu Samson Madawabora (pichani), ambaye alilala mauti tarehe 15/01/2020 akiwa nyumbani kwao Mahenge-Morogoro..Mwenyezi Mungu/ Allah azidi kuwapa nguvu na faraja ya kweli katika kipindi hiki kigumu na Ampumzishe mahali pema peponi ndugu yetu. Amina🙏🏼 #RIPSamsonMadawabora